У нас вы можете посмотреть бесплатно UFAHAMU MTINDIO WA UBONGO AINA YA KUKAMAA (SPASTIC CEREBRAL PALSY) или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mtindio wa ubongo (Cerebral Palsy) ni aina mojawapo ya mtindio wa ubongo ambao ni wa kawaida zaidi kuonekana katika jamii yetu. Mara nyingi ni vigumu kupata taarifa sahihi juu ya tafsiri ya mtindio wa ubongo, viashiria na dalili na pia namna za kumsaidia mtoto mwenye mtindio wa ubongo. Katika kipindi hiki ninazungumzia Spastic Cerebral Palsy, (aina ya mtindio wa ubongo inayosababisha mwili kukamaa) na namna sahihi za kumkalisha na kumposition mtoto mwenye mtindio wa ubongo aina ya kukamaa. Naamini utaelimika na kupata maarifa yatakayokufaa. Asante sana.