У нас вы можете посмотреть бесплатно TAZAMA! WANAFUNZI WATEMBEA KILOMITA 8 KWENDA SHULE MVOMERO, WAPEWA BAISKELI KUWASAIDIA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Baadhi ya wanafunzi katika shule ya sekondari kipera iliyopo kata ya Mlali halmashauri ya wilaya ya mvomero wamekuwa wakikabiliwa na changamoto ya kutembea umbali wa takribani kilomita 8 kutoka katika vijiji vya Lugono na Vitonga hadi kufika shuleni hali ambayo imekuwa ni changamoto kubwa kwa katika masomo yao na Usalama wao. Kufuatia changamoto hiyo wadau wamejitokeza kuwapatia usafiri wa Baiskeli ikiwa ni moja ya mchango wao katika kuwasaidia wanafunzi hao. #morogoro #nia24tv #samiasuluhuhassan #breaking