У нас вы можете посмотреть бесплатно Mwili na Damu Ya Yesu (Ekaristia/ Niruhusu Yesu/ Bwana Alivyo Mkarimu/ Nakuabudu/ Sakramenti Kubwa) или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Jumapili baada ya kusherehekea Utatu Mtakatifu huwa tunasherehekea Mwili na Damu Yake Yesu Kristu. Alhamisi kuu • Alhamisi Kuu 2021 (Kuabudu Ekaristi) Yesu Mwenyewe aliadhimisha Karamu ya Mwisho(Last Supper ) ambapo alitwaa Mwili wake kwa aji;i yetu na akatuamuru kufanya hivyo..."Huu ni Mwili wangu; kuleni nyote; Hii ni Damu Yangu; Kunyweni Nyote; Fanyeni hivi kwa kunikumbuka Mimi". Ekaristia Takatifu ni Mwili na Damu Yake Yesu; NI YESU MWENYEWE KATIKA UMBO LA MKATE NA DIVAI. Kwa macho yetu hatuoni; lakini ni Yesu mwenyewe. Hii ni Sakramenti ambayo husherehekewa mara nyingi. Katika Sakramenti zote saba; hii ndio ya kipekee Ambayo mkristu anapokea na kula. Sakramenti zile zingine hakuna kujongea kwenye meza.