У нас вы можете посмотреть бесплатно RUVUMA YACHUKUA HATUA MADHUBUTI KUKOMESHA UDUMAVU - RC AHMED ABBAS AFUNGUKA.... или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
RUVUMA YACHUKUA HATUA MADHUBUTI KUKOMESHA UDUMAVU - RC AHMED ABBAS AFUNGUKA.... @ROSEMARY - RUVUMA CC; BAKARI MAHUNDU Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Brigedia Jenerali Ahmed Abbas Ahmed, amesema serikali ya mkoa huo imeamua kuchukua mkakati mahususi na wa vitendo wa kupambana na tatizo la udumavu kwa kuunganisha sekta za kilimo, lishe na elimu. Akizungumza wakati wa ufunguzi wa kikao kazi cha mkakati wa kuendeleza zao la soya kilichofanyika katika ukumbi wa Songea Club, mjini Songea, Brigedia Jenerali Ahmed amesema mkakati huo unalenga kuhamasisha matumizi ya maziwa ya soya kama sehemu ya kuboresha lishe na kuhakikisha wanafunzi wa shule za awali na msingi wanapata maziwa ya soya kupitia mpango wa lishe shuleni. ============================================================ ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136) ⚫️ Email: [email protected] ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania! ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx