• ClipSaver
  • dtub.ru
ClipSaver
Русские видео
  • Смешные видео
  • Приколы
  • Обзоры
  • Новости
  • Тесты
  • Спорт
  • Любовь
  • Музыка
  • Разное
Сейчас в тренде
  • Фейгин лайф
  • Три кота
  • Самвел адамян
  • А4 ютуб
  • скачать бит
  • гитара с нуля
Иностранные видео
  • Funny Babies
  • Funny Sports
  • Funny Animals
  • Funny Pranks
  • Funny Magic
  • Funny Vines
  • Funny Virals
  • Funny K-Pop

SERIKALI YATENGA BILIONI 9 KUANZISHA KILIMO CHA MPUNGA CHA UMWAGILIAJI TANGANYIKA. скачать в хорошем качестве

SERIKALI YATENGA BILIONI 9 KUANZISHA KILIMO CHA MPUNGA CHA UMWAGILIAJI TANGANYIKA. 2 года назад

скачать видео

скачать mp3

скачать mp4

поделиться

телефон с камерой

телефон с видео

бесплатно

загрузить,

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
SERIKALI YATENGA BILIONI 9 KUANZISHA KILIMO CHA MPUNGA CHA UMWAGILIAJI  TANGANYIKA.
  • Поделиться ВК
  • Поделиться в ОК
  •  
  •  


Скачать видео с ютуб по ссылке или смотреть без блокировок на сайте: SERIKALI YATENGA BILIONI 9 KUANZISHA KILIMO CHA MPUNGA CHA UMWAGILIAJI TANGANYIKA. в качестве 4k

У нас вы можете посмотреть бесплатно SERIKALI YATENGA BILIONI 9 KUANZISHA KILIMO CHA MPUNGA CHA UMWAGILIAJI TANGANYIKA. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:

  • Информация по загрузке:

Скачать mp3 с ютуба отдельным файлом. Бесплатный рингтон SERIKALI YATENGA BILIONI 9 KUANZISHA KILIMO CHA MPUNGA CHA UMWAGILIAJI TANGANYIKA. в формате MP3:


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru



SERIKALI YATENGA BILIONI 9 KUANZISHA KILIMO CHA MPUNGA CHA UMWAGILIAJI TANGANYIKA.

Serikali ya Tanzania imetenga kiasi cha Tsh. bilioni 9 kwa ajili ya kuanzisha Kilimo cha umwagiliaji katika mashamba ya mpunga ya Gereza la Kalilankulukulu katika Halmashauri ya wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi. Akizungumza baada ya kutembelea wakulima mbalimbali Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika Onesmo Buswelu amesema hadi kufikia mwezi Aprili mwaka huu kiasi cha Tsh. Milioni mia nane kitakuwa kimeshaingizwa kwa ajili ya kuanza ujenzi wa tenki la kuhifadhia maji katika eneo hilo lenye ukubwa wa takribani Ekari mia tano. DC Buswelu amemhakikishia Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa watahakikisha wanasimamia kikamilifu na kwa ukaribu mradi huo kwa kuwa si tu utawanufaisha Magereza bali utanufaisha pia wananchi wa mkoa wa Katavi na Taifa kwa ujumla. Kwa upande wake Mkuu wa Gereza hilo, SP Bosco Paulo Lupala amesema katika msimu huu wa Kilimo wamelima Ekari 150 za zao la mpunga kwa kutumia nguvu kazi ya wafungwa ambapo wanatarajia kuvuna gunia 1700 mpaka 2000 sawa na Tani mbili za mpunga. SP Lupala amemshukuru Rais kwa kutenga fedha kwa ajili ya kuliendeleza eneo hilo kwani ujio wa mradi huo utawapunguzia changamoto mbalimbali huku wakitarajia uzalishaji kuwa mkubwa zaidi kutokana na zana za kisasa zitakazotumika ukilinganisha na ukubwa wa eneo. Nae Afisa Kilimo Wilaya ya Tanganyika Philemon Mwita amesema wanaendelea kutoa elimu kwa wakulima ili watumie kanuni bora za Kilimo ikiwemo matumizi sahihi ya pembejeo. Kufuatia mradi huo mkubwa, baadhi ya wananchi wawanaozunguka eneo hilo wamemshukuru Rais Dkt. Samia kwa kuwakumbuka na wanaamini ni mradi utakaowanufaisha ikiwemo kukabiliana na changamoto ya mvua. Machi 22,2023 Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika akiwa ameambatana na Afisa Kilimo wametembelea wakulima wa mazao mbalimbali ikiwa ni kujionea hali ilivyo baada ya mbolea ya ruzuku iliyotelewa na Serikali kama ilitumika ipasavyo na wamejirisha uzalishaji utakuwa mkubwa kutokana na wakulima kuitumia fursa ya pembejeo ya ruzuku.

Comments
  • Katavi Mkoa wa kilimo na utalii unaotendea haki kasi ya maendeleo ya Serikali ya awamu ya tano. 5 лет назад
    Katavi Mkoa wa kilimo na utalii unaotendea haki kasi ya maendeleo ya Serikali ya awamu ya tano.
    Опубликовано: 5 лет назад
  • Kilimo Cha Mpunga Kilivyo Geuka Fursa kwa Wakazi wa Mbarali 2 года назад
    Kilimo Cha Mpunga Kilivyo Geuka Fursa kwa Wakazi wa Mbarali
    Опубликовано: 2 года назад
  • FURSA ZA UCHUMI MKOA WA KATAVI 1 год назад
    FURSA ZA UCHUMI MKOA WA KATAVI
    Опубликовано: 1 год назад
  • MAJI YA ZIWA TANGANYIKA YAINGIA KATIKA MAKAZI  YA WATU KAREMA 1 год назад
    MAJI YA ZIWA TANGANYIKA YAINGIA KATIKA MAKAZI YA WATU KAREMA
    Опубликовано: 1 год назад
  • HISTORIA YA KAREMA 1 год назад
    HISTORIA YA KAREMA
    Опубликовано: 1 год назад
  • #TBC 1:   CHAMA CHA USHIRIKA LINDI | WAKULIMA WA SASA NI TOFAUTI NA WAZAMANI 2 года назад
    #TBC 1: CHAMA CHA USHIRIKA LINDI | WAKULIMA WA SASA NI TOFAUTI NA WAZAMANI
    Опубликовано: 2 года назад
  • Мирный план США отвергнут? / Мерц вышел с заявлением 7 часов назад
    Мирный план США отвергнут? / Мерц вышел с заявлением
    Опубликовано: 7 часов назад
  • Hewa ya ukaa Kilimanjaro 2 года назад
    Hewa ya ukaa Kilimanjaro
    Опубликовано: 2 года назад
  • Kilimo cha mahindi ya mbegu Iringa 2 года назад
    Kilimo cha mahindi ya mbegu Iringa
    Опубликовано: 2 года назад
  • WANANCHI WA MISHAMO WAIPONGEZA SERIKALI KWA KUANZA UTEKELEZAJI MPANGO WA MATUMIZI BORA YA ARDHI. 2 года назад
    WANANCHI WA MISHAMO WAIPONGEZA SERIKALI KWA KUANZA UTEKELEZAJI MPANGO WA MATUMIZI BORA YA ARDHI.
    Опубликовано: 2 года назад
  • MAKALA YA ZAO LA MICHIKICHI KUTOKA TARI KIHINGA MKOA WA KIGOMA 4 года назад
    MAKALA YA ZAO LA MICHIKICHI KUTOKA TARI KIHINGA MKOA WA KIGOMA
    Опубликовано: 4 года назад
  • Lucerne Farming in Botswana: A Guide to Successful Cultivation and Harvest 1 год назад
    Lucerne Farming in Botswana: A Guide to Successful Cultivation and Harvest
    Опубликовано: 1 год назад
  • Wakulima Dakawa wanavyonufaika na kilimo cha umwagiliaji baada ya Serikali kukarabati mindombinu 7 лет назад
    Wakulima Dakawa wanavyonufaika na kilimo cha umwagiliaji baada ya Serikali kukarabati mindombinu
    Опубликовано: 7 лет назад
  • #TAZAMA| WAZIRI MKUU AWASHA MOTO KIGOMA KILIMO CHA MICHIKICHI, ATOA MAELEKEZO HAYA 2 года назад
    #TAZAMA| WAZIRI MKUU AWASHA MOTO KIGOMA KILIMO CHA MICHIKICHI, ATOA MAELEKEZO HAYA
    Опубликовано: 2 года назад
  • Kanuni (10) Muhimu/ kilimo Bora Cha mpunga 6 лет назад
    Kanuni (10) Muhimu/ kilimo Bora Cha mpunga
    Опубликовано: 6 лет назад
  • TAZAMA HAPA: Mpanda inavyozidi kubadilika 7 лет назад
    TAZAMA HAPA: Mpanda inavyozidi kubadilika
    Опубликовано: 7 лет назад
  • Katavi yajikita kwenye kilimo cha kahawa 6 лет назад
    Katavi yajikita kwenye kilimo cha kahawa
    Опубликовано: 6 лет назад
  • SOLD 2320ha Combination Game, Cattle & Irrigation Farm for Sale 5 лет назад
    SOLD 2320ha Combination Game, Cattle & Irrigation Farm for Sale
    Опубликовано: 5 лет назад
  • African Farming Season 3 Episode 4: Keneilwe Raphesu (FULL EPISODE) 3 года назад
    African Farming Season 3 Episode 4: Keneilwe Raphesu (FULL EPISODE)
    Опубликовано: 3 года назад
  • 2023: Muongozo + Mchanganuo 2 года назад
    2023: Muongozo + Mchanganuo "Mtaji & Faida" Kwa Ekari "KILIMO CHA MPUNGA KIBIASHARA"
    Опубликовано: 2 года назад

Контактный email для правообладателей: [email protected] © 2017 - 2025

Отказ от ответственности - Disclaimer Правообладателям - DMCA Условия использования сайта - TOS



Карта сайта 1 Карта сайта 2 Карта сайта 3 Карта сайта 4 Карта сайта 5