У нас вы можете посмотреть бесплатно Karibu SIDO TDC — Mahali pa Kubuni na Kutengeneza Mashine kwa Mahitaji ya Wajasiriamali или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Shirika la maendeleo ya viwanda vidogo (SIDO) ni taasisi ya serikali yenye jukumu kubwa la kujenga msingi mzuri wa kuanzisha na kuendeleza viwanda vidogo nchini. Shirika linatoa huduma mbalimbali zinazolenga kustawisha ujasiriamali hususa katika viwanda vidogo . Huduma hizo ni muhimu sana katika kutengeneza weledi katika sekta hii na kuifanya iwe na viwango vya ubora vinavyoridhisha. Huduma hizo ni; Teknolojia na maendeleo ya viwanda Mafunzo na ushauri Masoko na uwekezaji Mikopo Fika ofisi ya SIDO iliopo mkoani mwako . Ili upate huduma unazohitaji, ili kuimarisha, kukuza na kuendeleza ujasiriamali wako, ili jamii na taifa liweze kufaidika kwa ujumla. SIDO ufunguo wa maisha yako kiuchumi. Karibu Tukuhudumie. #sidotanzania