У нас вы можете посмотреть бесплатно UNIHURUMIE MIMI BWANA - NYIMBO ZA KWARESMA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Tunakukaribisha ndugu mtazamaji katika kipindi hiki cha kwaresma uweze kutafakari nyimbo hizi maalum kabisa kwa ajili ya kipindi hiki. Nyimbo zimerekodiwa na kikundi cha TUMAINI CATHOLIC SINGERS kutoka jijini Dar es Salaam. Wpigie simu namba 0755 816669/0768 756077 Kupata nakala hii. MANENO YA WIMBO Unihurumie mimi Bwana, nimetenda dhambi mimi Bwana, ninakusihi, ee Mungu wangu, unisamehe, makosa yangu, ( niliyokutendea wewe Mungu wangu na jirani zangu ) x 2 1. Dhambi zimenitenga nawe, Bwana unihurumie, mimi ni mkosefu. 2. Nauogopa uso wako, kwani nimekosa Baba, unihurumie. 3. Ewe Baba mwenye huruma, unihurumie mimi, nimetenda dhambi. 4. Uisafishe roho yangu, uniimarishe Bwana, nisitende dhambi.