У нас вы можете посмотреть бесплатно ASKOFU MKUU NKWANDE AOMBOLEZA KIFO CHA MWADHAMA POLYCARP KARDINALI PENGO или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Kufuatia kifo cha Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo aliyefariki usiku wa Alhamis Februari, 19, 2026, kama ilivyotangazwa na Askofu Mkuu wa Dar es Salaam Thaddaeus Ruwa'ichi, Mha.Renatus Nkwande anatoa salamu za pole, huku akionesha kuguswa na msiba huo mzito kwa kanisa la Tanzania. Mhashamu Baba Askofu mkuu Renatus Nkwande, amewataka waamini wa Jimbo kuu katoliki Mwanza kumuombea pumziko la amani mbinguni pia kuungana na waamini wa Jimbo kuu la Dar es Salaam katika mazishi yatakayofanyika Tarehe 28/02/2026 katika kituo cha Hija Pugu - Dar es Salaam, ambapo pia amethibitisha kushiriki katika mazishi hayo. RAHA YA MILELE UMPE EE BWANA NA MWANGA WA MILELE UMUANGAZIE, APUMZIKE KWA AMANI.... AMINA🙏🏽