У нас вы можете посмотреть бесплатно AJIRA ELFU 8 ZATOLEWA HAPA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
KAMATI ya kudumu ya ya Ustawi wa Maendeleo ya Jamii pamoja na Taasisi ya serekali OSHA wamefanya ziara kwenye kiwanda cha Azam kinacho zalisha unga na kiwanda cha Lodhia Cha kuzalisha nondo Kwa lengo la kuangalia utekelezaji wa Sheria ya usalama na Afya Mahali pa kazi. Ziara hiyo imefanyika Jijini Dar es Salaam Agosti 26, 2023 ikiwa na lengo la kuunga juhudi za Rais Samia Kwa kuweka mazingira wezeshi Kwa Ustawi wa sekta binafsi kwaajili ya kuwezesha biashara nchini. Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Ustawi wa Maendeleo ya Jamii Fatuma Hassan amesema wawekezaji wa sekta binafsi wakipata fursa wata ongezeka zaidi Afrika na njee ya Afrika, anashauri serikali kuweka mazingira bora zaidi Kwa wawekezaji wazawa Ili kuongeza ajira nchini. Kwa upande wake Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu kazi, ajira, vijana na wenye ulemavu Prof. Jamal Katundu amesema wanahakikisha wawekezaji wanawekewa mazingira mazuri ya kufanya kazi ikiwa na kuwaisha kupewa Kwa vibali ndani ya wiki. Naye Waziri wa nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na wenye ulemavu Joyce Ndalichako ametoa pongezi Kwa mfanya biashara Said Bakhresa Kwa kutoa ajira Kwa kiwanda hicho Kwa watu elfu 8, na Kwa wajasiriamali elfu 20. Ata hivyo mtendaji mkuu wa Taasisi ya OSHA Khadija Mwenda anasema mkono wa OSHA umehusika kuhakikisha viwanda vya ndani vinakua kwakua wanawakagua, na kushauri namna ya kulinda wafanyakazi na kutoa wito Kwa wadau kuendelea kushirikiana nao.