У нас вы можете посмотреть бесплатно MAHAKAMANI WATU SITA KWA WIZI NA UHUJUMU UCHUMI NA HASARA ZAIDI YA MILIONI 300 или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Taasisi ya kuzuia na kupambana na ruswa TAKUKURU mkoani Kigoma kwa kushirikiana na ofisi ya taifa ya mashtaka imewafikisha mahakamani watu sita kwa tuhuma za rushwa wizi na uhujumu uchumi ambao umelisababishia shirika la umeme nchini TANESCO hasara ya zaidi ya shilingi milioni miatatu hamsini . Mkuu wa TAKUKURU mkoa wa mkoa wa Kigoma STEPHEN MAFIPA amewataja watuhumiwa hao kuwa ni Bonaventura Masanja,Mhandisi Christopher Challe,Kadamila Samson,Thadeus Daraje,Magaso Wajama na Julius Mdughu ambao ni watumishi wa TANESCO mkoa wa Kigoma. Aidha MAFIPA amesema pamoja na kuwafikisha mahakamani watuhumiwa hao TAKUKURU inaendelea na uchunguzi ndani ya shirika hilo ili kubaini kama kuna kiasi Kigine cha fedha ambacho kimehujumiwa .