У нас вы можете посмотреть бесплатно VIDEO: FISI KAIBA MTOTO, AKWEPA RISASI NA KUSHAMBULIA “ZIMETUMIKA RISASI 49 MPAKA KUMUUA” или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, Safia Jongo amesema fisi amevamia makazi ya Watu na kumnyakua Mtoto wa mwaka mmoja na nusu kisha kukimbia nae na kumjeruhia hadi kumsababishia kifo chake. RPC Safia amesema Wananchi watatu wamejeruhiwa pia wakati wakijaribu kupambana na fisi huyo na Mwananchi mmoja hali yake ni mbaya amelazwa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Kitete. “Askari walipofika eneo la tukio fisi alijaribu kuwashambulia pia wakafanikiwa kumuua, naomba niwatanie Watani zangu Wanyamwezi, risasi 49 zimepotea kumuua fisi, sasa huyu ni fisi wa kawaida au fisi wa Kinyamwezi!?” —RPC Jongo