У нас вы можете посмотреть бесплатно 'Bado dunia inatuhitaji wanawake lazima tusonge mbele' или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Siku ya Wanawake duniani huadhimishwa tarehe 08 mwezi wa tatu kila mwaka ambapo huwapa fursa Wanawake kutathmini ni wapi walipotoka, wapi walipo na wapi wanatarajia kufika. Mwandishi wa BBC Aboubakar Famau amepata fursa ya kufanya mahojiano na Mama Gertrude Mongella mwanasiasa mkongwe aliyewahi kushika nyadhfa mbalimbali za uongozi nchini Tanzania kama vile Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Mbunge wa Bunge la Afrika, Waziri wa Wizara ya Mali asili na Utalii, Katibu Mkuu msaidizi wa Umoja wa mataifa (UN) na kubwa zaidi Mwanaharakati aliyeongoza mkutano wa Beijing mwaka 1995 uliopigania haki za Wanawake Duniani kote. 🎥: @frankmavura #bbcswahili #tanzania #sikuyawanawake