У нас вы можете посмотреть бесплатно TOFAUTI YA MAKONDA NA KABUDI HII HAPA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, amewataka watumishi wa wizara hiyo kuongeza kasi na uwajibikaji, ili kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi na kwa wakati. - Makonda aitoa kauli hiyoJanuari 13, 2025, alipowasili wizarani hapo mara baada ya kuapishwa rasmi na Rais wa Tanzania Dk Samia Suluhu Hassan, katika Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma. - Akizungumza na watendaji wa idara na taasisi zilizo chini ya wizara hiyo, Makonda alisisitiza nidhamu ya kazi, mshikamano na bidii kama msingi wa mafanikio. - “Naomba kila mtendaji akae kwenye nafasi yake, aenee kwenye kiti chake na afunge mkanda vizuri. Ni wakati wa kufanya kazi kwa bidii, kwa kasi na kwa matokeo,” alisema Makonda. #updates #makonda #taarifa #breaking #habari #wizarayahabari