У нас вы можете посмотреть бесплатно Mambo matano yanayohusika katika uboreshaji wa sasa wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Bw. Kailima Ramadhani ameshiriki katika utoaji wa elimu ya Mpiga Kura wakati huu wa Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Mpiga Kura ambapo pamoja na mambo mengine akiwa Kituo cha Bunda FM 92.1 kilichopo Wilaya ya Bunda Mkoani Mara, alieleza kwa kina Mambo matano yanayohusika katika uboreshaji wa sasa wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura. Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Mpiga Kura Mkoani Mara unataraji kuanza Septemba 04 hadi 10, 2024. #uchaguzi #uboreshajiwadaftari #kujiandikishakuwampigakuranimsingiwauchaguzibora #BundaFM #ElimuYaMpigaKura