У нас вы можете посмотреть бесплатно JINSI YA KUTINDUA NA KUSET POINT ZA UMEME KABLA YA PLASTA (BUNJU MIANZINI) или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
🔌 JINSI YA KUTINDUA NA KUSET POINT ZA UMEME KABLA YA PLASTA 📍 Mahali: Bunju Beach – Mianzini Katika kazi hii muhimu ya wiring, tunafuata hatua zifuatazo kuhakikisha kila point ya umeme imekaa sahihi kabla ya kupigwa plasta: --- ✅ 1. KUPIMA NA KUWEKA VIPIMO SAHIHI Tunaanza kwa kupima maeneo ambayo kutakuwepo na point za umeme kama vile: socket, switch, taa, A/C, water heater n.k. Tunaweka alama kwenye ukuta kwa kutumia tape measure na chaki/kalamu ili kujua point zitakuwa na urefu upi kutoka sakafuni (standard: 45cm sockets, 1.2m switch). --- ✅ 2. KUTINDUA (KUCHIMBA) KUTA Kwa kutumia mashine (wall cutter au grinder), tunatengeneza njia ya kupitisha conduit (bomba la waya). Tunachonga kwa umakini ili njia ziwe straight na zisiharibu kuta kupita kiasi. --- ✅ 3. KUWEKA CONDUIT NA BOXES Tunaweka conduit pipes (PVC) ndani ya kuta tulizochonga. Tunafunga metal/plastic boxes za socket na switch mahali pake kwa uwiano na vipimo vilivyopimwa awali. Kila box linafungwa kwa spirit level kuhakikisha lipo straight (laini). --- ✅ 4. KUSETA WAYA (Pre-wiring) Baada ya conduit kuwa tayari, tunaweka waya kwa kutumia pulling wire au steel rod. Tunahakikisha waya zimetambulika kwa rangi zake: live, neutral, na earth. --- ✅ 5. KUKAGUA NA KUTHIBITISHA Tunapitia kila point kuhakikisha ipo sawa kabla ya plasta kufanyika. Tunafanya test ya continuity na insulation ikiwa muhimu. --- 🛠️ FAIDA ZA KUFANYA KAZI HII KABLA YA PLASTA Husaidia wiring kuingia vizuri ndani ya ukuta bila kuharibu kuta zilizopigwa plasta. Inahakikisha kazi ni safi na salama kwa muda mrefu. Huondoa gharama ya kurudia ukarabati baada ya plaster au tiles kuwekwa. @Google @GiftElectricalVlog @viralvibes-d2g @5MinuteCraftsDIY @TecnologiaySoluciones #trendingvideo #viralshorts #fundiumeme#diy