У нас вы можете посмотреть бесплатно Chris Kaiga - HIZI BUNDAS (Official Music Video) или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Chris Kaiga - HIZI BUNDAS (Official Music Video) Out Now! https://fanlink.to/Bundas Follow Chris Kaiga: / chris_kaiga / chris_kaiga / chris.kaiga Audio Produced by: Manch!ld LYRICS [Verse:1] Tunapull UP mraia watuta tuko juu ya nduthi na back up ya Uber Madem wa Nakaa chun Li ma Boss chick ki huddah Venye wana stager ni kaa wanabanjuka Dem Chuma but anadai kuchungwa, hio pia haiwezi juu tu tumeanza dunda itabaki wametokwa kaa mlango haijafungwa.. Hizi bundal za faa kupigwa Bundas.. [Chorus:] Najaza meza pamoja na ukuta.. Juu hizi BUNDAS zinani sumbua.. Leo mpaka bouncer apigwe na kichupa.. Juu hizi bundal zinani sumbua Najaza meza pamoja na Ukuta.. Kaa unanijua leo pigwa na kichupa.. Juu ninabundal na Zangu zimerunda.. Juu nina bundal na zinani sumbuaaaa.. [Verse:2] All eyes on me kama Makaveli.. Zikicheki cheki mfuko zangu heavy heavy. Hadi Mwenye bar na meneja wanadai selfie.. Juu meza imejaa mizinga za henny.. Ita waiter akam!! Oya kam.. Mtu wangu shika glass.. Leo pia wewe pigwa na kichupa keep change ukipigwa na the Bundas [Chorus:] Najaza meza pamoja na ukuta.. Juu hizi BUNDAS zinani sumbua.. Leo mpaka bouncer apigwe na kichupa.. Juu hizi bundal zinani sumbua Najaza meza pamoja na Ukuta.. Kaa unanijua leo pigwa na kichupa.. Juu ninabundal na Zangu zimerunda.. Juu nina bundal na zinani sumbuaaaa.. [Verse:3] Leo situpi lugha ni ma bundal zinazungumza.. Na magyal dem Kwa niaba ya the mandem Wananisugua kama kipande kutoka sunset hadi mangware.. Na Leo nawabadilisha kama ma Channel Nawai slim ting pum Pum badae. Nahalla melanin na yellow ting same time.. Niko idhaa ya kucheza nao kimimi one time [Chorus:] Najaza meza pamoja na ukuta.. Juu hizi BUNDAS zinani sumbua.. Leo mpaka bouncer apigwe na kichupa.. Juu hizi bundal zinani sumbua Najaza meza pamoja na Ukuta.. Kaa unanijua leo pigwa na kichupa.. Juu ninabundal na Zangu zimerunda.. Juu nina bundal na zinani sumbuaaaa. #ChrisKaiga #bundas #bundaz #DEBE