У нас вы можете посмотреть бесплатно E HABARI MARCH 06 2026/BRELA YAONGEZA KASI URASIMISHAJI WA BIASHARA KUCHOCHEA UCHUMI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
SERIKALI imezitaka taasisi zinazosimamia usajili wa biashara kuongeza ufanisi katika mifumo ya kidijitali na urasimishaji wa biashara ili kuimarisha mazingira ya uwekezaji na kukuza uchumi wa nchi. Hayo yameelezwa na Waziri wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga, wakati akifungua Baraza la Wafanyakazi la Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) amesema BRELA ina nafasi muhimu katika kukuza sekta binafsi kwa kuwa ni lango kuu la usajili wa biashara na uwekezaji nchini, hivyo ni muhimu kuendelea kuwekeza katika rasilimali watu kwa kuwapa watumishi mafunzo na stahiki zao ili kuongeza tija, huku akisisitiza umuhimu wa uadilifu, weledi na uzalendo katika utoaji wa huduma.