У нас вы можете посмотреть бесплатно Alichozungumza Rais Samia Katika Misa ya Kumuaga Jenista Mhagama, 'Alikuwa Kiongozi Jasiri na Mlezi' или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, anaongoza waombolezaji katika ibada ya kuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Peramiho, Mhe. Jenista Joakim Mhagama. Ibada hiyo inafanyika leo Desemba 13, 2025, katika Kanisa la Maria-Theresa Ledochowska, Parokia ya Kiwanja cha Ndege, ndani ya Jimbo Kuu Katoliki la Dodoma, ikihusisha familia, viongozi wa Serikali, Wabunge, pamoja na wananchi mbalimbali waliokuja kutoa heshima za mwisho. Unaweza kutufuatilia kupitia; TWITTER: / thechanzo INSTAGRAM: / thechanzo FACEBOOK: / thechanzo TIKTOK: https://www.tiktok.com/@thechanzo?is_... Au tembelea tovuti yetu: https://www.thechanzo.com Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105 The Chanzo 2025 © All Rights Reserved.