У нас вы можете посмотреть бесплатно MC PILIPILI AACHIWA HURU KWA DHAMANA, AMKUMBATIA MCHUMBA WAKE или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mshereheshaji, Emanuel Mathias(34) maarufu kama MC Pili Pili na mwenzake wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na shtaka la kuchapisha maudhi katika Mtandao bila kuwa na leseni kutoka Mamlaka ya Mawasiliano nchini( TCRA) Mbali na Mathias, mshtakiwa mwingine katika kesi hiyo ni Heriel Clemence( 25) Akisoma hati ya mashtaka, wakili wa Serikali Constantine Kakula akisaidiana na Batilda Mushi, amedai leo, Mei 7, 2019 kuwa washtakiwa wanakabiliwa na shtaka moja kuchapisha maudhi katika mtandao bila kuwa na leseni. Kakula amedai mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi wa mahakama hiyo, Augustina Mmbando kuwa washtakiwa wanadaiwa kutenda kosa hilo, kati ya Novemba 17, 2013 na Mei 2, 2019 katika maeneo mbalimbali ya jiji Dar Es Salaam. Alidai kuwa katika kipindi hicho, Mathias na Clement walichapisha maudhi kupitia Televisheni ya mtandaoni ( Tv online) inayojulikana kwa jina Mc Pilipili, bila kuwa na kibali kutoka Mamlaka ya Mawasiliano nchini( TCRA). Washtakiwa baada ya kusomewa shtaka lao, walikana kutenda kosa hilo na upande wa mashtaka ulidai kuwa upelelezi wa kesi hiyo bado haujakamilika.