У нас вы можете посмотреть бесплатно KIPINDI CHA MADHABAHUNI NA KUPOKEA MWEZI WA TATU или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mwezi wa tatu ni mwezi wa uthibitisho, kufunguliwa milango na ushindi wa kimya kimya. 📖 “Tazama, nimeweka mbele yako mlango uliofunguliwa, wala hakuna awezaye kuufunga…” — Ufunuo wa Yohana 3:8 ✨ Haya ndiyo maneno ya kinabii kwa mwezi huu: 🔹 1. Milango itafunguka ghafla Kile kilichokwama miezi iliyopita kitaanza kusogea. Kutakuwa na majibu ya maombi ambayo ulikuwa umeanza kukata tamaa. 🔹 2. Mungu anakurudishia heshima yako Waliokudharau watashangaa jinsi Mungu atakavyokuinua. Utaona neema isiyo ya kawaida kazini, kwenye huduma, na katika familia. @PRAYER LINES OR CONNECT WITH 0707981620 0707593458. OR USE OUR BANK TRANSFER ACCOUNT NO: 0350260865699 EQUITY BANK SWIFT CODE: EQBLKENA ACCOUNT NAME: JESUS IS COMING DELIVERANCE & HEALING MINISTRY