У нас вы можете посмотреть бесплатно Sitasumbuka kwa kuwa Mungu ananitunza daima 50 NW или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
50 SITASUMBUKA kwa kuwa Mungu ananitunza daima √√ Nyimbo Za Wokovu 1. Sitasumbuka kwa kuwa Mungu ananitunza daima, anachukua mizigo yangu nyakati zote za mwendo. Refrain: Sijaiona nyingine siku Na jana imetoweka na leo Mungu anazijua hitaji zote ninazo. 2. Sitasumbuka kwa kuwa Mungu ni baba yangu kabisa, hawezi kunisahau mimi ingawa akijificha. 3. Sitasumbuka kwa kuwa Mungu anishibisha neema, anipa yote yanifaayo kwa roho yangu na mwili. 4. Maua yote anayavika na ndege wote wa anga wanapokea chakula chao pasipo shamba na ghala. 5. Ninafurahi katika bwana, na kama ndege naimba. Najua kwamba nyakati zote babangu ananitunza, #Nyimbozawokovu