У нас вы можете посмотреть бесплатно Live ▶|| Ibada Ya Lunch Hour | 31- 01 - 2025 или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Karibu katika Ibada ya ya mchana ( lunch Hour ) kutokea hapa kanisa Kuu Azania Front Posta Dar Es Salaam. SOMO: SHUGHULIKA NA ZUIO LA HATUA ZAKO ▶ Mhubiri: Mch. Joash Aila ........................... MWANZO 11: 31 - 32 31. Tera akamtwaa Abramu mwanawe, na Lutu mwana wa Harani, mwana wa mwanawe, na Sarai mkwewe, mke wa Abramu mwanawe, wakatoka wote katika Uru wa Wakaldayo, waende nchi ya Kanaani, wakafika mpaka Harani wakakaa huko. 32. Siku za Tera zilikuwa miaka mia mbili na mitano; Tera akafa katika Harani. MWANZO 17:4-5 4. Mimi, agano langu nimefanya nawe, nawe utakuwa baba wa mataifa mengi, 5. wala jina lako hutaitwa tena Abramu, lakini jina lako litakuwa Ibrahimu, kwani nimekuweka uwe baba wa mataifa mengi. WAFILIPI 2:9-11 9. Kwa hiyo tena Mungu alimwadhimisha mno, akamkirimia Jina lile lipitalo kila jina; 10. ili kwa jina la Yesu kila goti lipigwe, la vitu vya mbinguni, na vya duniani, na vya chini ya nchi; 11. na kila ulimi ukiri ya kuwa YESU KRISTO NI BWANA, kwa utukufu wa Mungu Baba. 1 SAMWELI 25:25 25. Nakusihi, bwana wangu, wewe usimwangalie huyu mtu asiyefaa, yaani, Nabali; kwa maana kama lilivyo jina lake ndivyo alivyo yeye; jina lake ndilo Nabali, na upumbavu anao; lakini mimi, mjakazi wako, sikuwaona hao vijana wa bwana wangu aliowatuma. ............................ 👇👇👇 // NAMBA ZA SADAKA // ▶ LIPA KWA [ M-PESA ] - 579 579 4 ▶ NAMBA YA MPESA - 0757 - 391 - 174 JINA: KKKT AZANIA FRONT CATHEDRAL ▶ MAENDELEO BANK A/C NO 0137 9274 6021 JINA: LUTHERAN CHURCH AZANIA FRONT CATHEDRAL TUFUATILIE KWENYE MITANDAO KWA TAHARIFA ZAIDI: Instagram page: / kkkt_azaniafront_cathedral Website: https://www.azaniafront.org/ Facebook: / kkkt-azania-front-cathedral-101434162039079 #azaniafrontcathedral #lunchhour #lutheran