У нас вы можете посмотреть бесплатно Dalili hatari kwa Mjamzito | Dalili za hatari kwa Mama Mjamzito или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Kuna wakati fulani Mama Mjamzito anaweza kupata Dalili ambazo ni hatari kwa Afya yake au Kwa mtoto aliyepo tumboni mwake! Kulingana na shirika la Afya Duniani (WHO) limeanisha Dalili Tisa hatari kwa Mjamzito, hivyo Mjamzito anapokuwa na Dalili hizo anatakiwa kujua kuwa ni Dalili hatarishi kwenye Ujauzito wake. Dalili hizo hatarishi kwa Mjamzito ni kama; 1. Kutokwa na Damu katika kipindi cha Ujauzito! 2. Kuumwa kichwa wakati wa Ujauzito! 3. Kupata homa kali wakati wa Ujauzito! 4. Kuvimba Miguu, Vidole vya Mikono na Uso ambapo huambatana na kupata shida ya kuona! 5. Kuwa na Dege dege katika kipindi cha Ujauzito! 6. Kupata Maumivu Makali ya Tumbo! 7. Kupata shida Kupumua! 8. Mtoto kupunguza kucheza tumboni. 9. Kuchoka kupita kiasi / kuliko kawaida. Lakini kuna dalili nyingine ambazo zinaweza kuwa za hatari mfano; 10. Kupasuka kwa chupa kabla ya uchungu kuanza au kabla ya wakati wa kujifungua! 11. Kutokwa na uchafu au magonjwa katika njia ya uzazi na nk. KUMBUKA; Uonapo Dalili hizo wakati wa Ujauzito basi unatakiwa kupata ushauri kutokwa kwa Mkunga au Daktari ili kuhakikisha unakuwa na Afya! NB: Ukitaka kujifunza zaidi ni fuatilie YouTube kwa jina la Dr.Mwanyika au bonyeza link hapo 👇👇👇👇 / drmwanyika Ukiwa unamaswali unaweza kuuliza hapa chini (kwenye comments za youtube). Subscribe,Comment and Share JapideAfya_Services Your Health is Our Health Instagram as @JapideAfya_Services Facebook page as @JapideAfya_Services ©Dr.Mwanyika. #MamaAfya #DaliliHatarishi #JapideAfya_Services