У нас вы можете посмотреть бесплатно Ni zipi athari za siasa za Trump? | DW Kiswahili или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Rais Donald Trump aliingia madarakani kwa kujinadi kuwa atakuwa kiongozi mwenye kuleta amani duniani. Lakini hata kabla ya kuingia madarakani tayari ulimwengu ulikuwa na wasiwasi na kitakachotokana na utawala wake huu wa pili. Sera yake ya Amerika kwanza imeubadili ulimwengu kuelekea mahusiano ya nchi hiyo na mataifa ya dunia, biashara, sera ya mazingira na hata kisiasa. Je ulimwengu unaweza kuendelea kuvumilia sera za kiongozi huyo? Tumewaalika waandishi wa habari #Jamhuri #Mwavyombo na #Mubelwa #Bandio kulijadili hili. #dwkiswahili #DWSwahili #HabariLeo #RipotiNaUchambuzi #TaarifaYaHabari