У нас вы можете посмотреть бесплатно WAZIRI MKUU ATOA MAAGIZO HAYA KWENYE KONGAMANO LA ANWANI ZA MAKAZI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
DAR ES SALAAM: WAZIRI MKUU, Dk. Mwigulu Nchemba, ameziagiza wizara zinazohusika na mawasiliano na Teknolojia ya Habari kuhakikisha Mfumo wa Anwani za Makazi unatumika kikamilifu na kwa tija katika sekta zote nchini. Kauli hiyo imetolewa leo jijini Dar es Salaam na Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Angellah Kairuki, wakati akimwakilisha Waziri Mkuu kwenye kilele cha Kongamano la Mwaka la Anwani za Makazi na Maonesho ya Teknolojia ya Huduma za Posta 2026. Follow us on: FACEBOOK; SpotiLeo: / spotileo-176. . HabariLeo: / habarileo DailyNews: / dailynewstz INSTAGRAM; HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig... SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid... TWITTER; Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09