У нас вы можете посмотреть бесплатно Sukari bado kilio kizito, Vishoka wadaiwa kumaliza sukari Dodoma или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Suala la sukari kwa sasa nchini limekuwa ni kilio kila kona wananchi na Wafanyabiashara wa bidhaa hiyo hapa jijini Dodoma wameeleza kusikitishwa na uhaba wa bidhaa hiyo, hali inayosababisha kununua kwa bei ya juu, huku walanguaji wakilazimika kupanga foleni kwa muda mrefu kwa wakala wa wasambazaji ili kuinunua. Leo, alhamisi Februari 15,2024 Mwananchi Digital tulipiga kambi kwa wakala wa usambazaji wa sukari H.M.H Gulamali iliyoko soko la majengo jijini hapa kujionea namna wananchi wanavyojipatia bidhaa hiyo. Wakiwa kwenye foleni wafanyabiashara hao wamesema wamekuwa wakitumia mda mrefu kutafuta bidhaa hiyo licha ya jitihada kubwa zinazofanywa na wakala huyo ila bado mahitaji yamekuwa makubwa na hayatoshelezi.