У нас вы можете посмотреть бесплатно SAUDIA YAIMARISHA MZOZO WA MWEZI WA RAMADHANI , ASIYEKUWA MUFTI HAFAI KUTANGAZA MWEZI. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Suala la kufunga na kufungua swaumu ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, limekuwa kwa miaka mingi likitumiwa na kundi la Mawahhabi kujenga mfarakano baina ya Waislamu katika Afrika Mashariki hususan Tanzania. Utengano baina ya Waislamu unajengwa na kundi la Mawahhabi kumuasi Kiongozi mkuu wa Waislamu ambaye ni Mufti, na kuamua kutangaza mwandamo wa Mwezi wa Ramadhani bila kuonekana mwezi wenyewe, lakini pia Uislamu hauruhusu mtu asiyekuwa na mamlaka yanayotambuliwa na Dola kutoa tangazo kama hilo. Katika makala haya Sheikh Khalifa anatoa ufafanuzi juu ya suala hili kwa kufuata mafunzo ya Uislamu halisi.