Π£ Π½Π°Ρ Π²Ρ ΠΌΠΎΠΆΠ΅ΡΠ΅ ΠΏΠΎΡΠΌΠΎΡΡΠ΅ΡΡ Π±Π΅ΡΠΏΠ»Π°ΡΠ½ΠΎ TANZIA: MKE WA MZEE JENGUA KUHUSU KIFO CHA MUMEWE ΠΈΠ»ΠΈ ΡΠΊΠ°ΡΠ°ΡΡ Π² ΠΌΠ°ΠΊΡΠΈΠΌΠ°Π»ΡΠ½ΠΎΠΌ Π΄ΠΎΡΡΡΠΏΠ½ΠΎΠΌ ΠΊΠ°ΡΠ΅ΡΡΠ²Π΅, Π²ΠΈΠ΄Π΅ΠΎ ΠΊΠΎΡΠΎΡΠΎΠ΅ Π±ΡΠ»ΠΎ Π·Π°Π³ΡΡΠΆΠ΅Π½ΠΎ Π½Π° ΡΡΡΠ±. ΠΠ»Ρ Π·Π°Π³ΡΡΠ·ΠΊΠΈ Π²ΡΠ±Π΅ΡΠΈΡΠ΅ Π²Π°ΡΠΈΠ°Π½Ρ ΠΈΠ· ΡΠΎΡΠΌΡ Π½ΠΈΠΆΠ΅:
ΠΡΠ»ΠΈ ΠΊΠ½ΠΎΠΏΠΊΠΈ ΡΠΊΠ°ΡΠΈΠ²Π°Π½ΠΈΡ Π½Π΅
Π·Π°Π³ΡΡΠ·ΠΈΠ»ΠΈΡΡ
ΠΠΠΠΠΠ’Π ΠΠΠΠ‘Π¬ ΠΈΠ»ΠΈ ΠΎΠ±Π½ΠΎΠ²ΠΈΡΠ΅ ΡΡΡΠ°Π½ΠΈΡΡ
ΠΡΠ»ΠΈ Π²ΠΎΠ·Π½ΠΈΠΊΠ°ΡΡ ΠΏΡΠΎΠ±Π»Π΅ΠΌΡ ΡΠΎ ΡΠΊΠ°ΡΠΈΠ²Π°Π½ΠΈΠ΅ΠΌ Π²ΠΈΠ΄Π΅ΠΎ, ΠΏΠΎΠΆΠ°Π»ΡΠΉΡΡΠ° Π½Π°ΠΏΠΈΡΠΈΡΠ΅ Π² ΠΏΠΎΠ΄Π΄Π΅ΡΠΆΠΊΡ ΠΏΠΎ Π°Π΄ΡΠ΅ΡΡ Π²Π½ΠΈΠ·Ρ
ΡΡΡΠ°Π½ΠΈΡΡ.
Π‘ΠΏΠ°ΡΠΈΠ±ΠΎ Π·Π° ΠΈΡΠΏΠΎΠ»ΡΠ·ΠΎΠ²Π°Π½ΠΈΠ΅ ΡΠ΅ΡΠ²ΠΈΡΠ° ClipSaver.ru
Muigizaji nguli wa filamu na tamthilia Tanzania, Mohamed Fungafunga maarufu Jengua amefariki dunia asubuhi ya leo, Disemba 15. Akithibitisha taarifa hizo mke marehemu aliyefahamika kwa jina la Maua Ally amesema Jengua amefariki akiwa Mkuranga, Pwani, nyumbani kwa mtoto wake mkubwa alipokuwa akiuguzwa. βAlikuwa anasumbuliwa na presha, kwahiyo tulikuwa mkuranga kwa kwa mtoto wake mkubwa kwa ajili ya kumuuguza, lakini leo tumeamka asubuhi hali ikawa mbaya, na akafariki hapa nyumbani.β ameeleza Maua huku akilia. Aidha Maua ameweka wazi kuwa mume wake alikuwa akisumbuliwa na maradhi ya presha. Msiba wa mzee Jengua uko Mkuranga nyumbani kwa mwanae, lakini mazishi ya staa huyo yatafanyika Mburahati Dar es Salaam katika makaburi ya Mburahati. Umaarufu wa Jengua ulianza mwanzoni mwa miaka ya 2000. Kisha baadae alipumzika kuigiza kabla ya kuibuka tena mwaka 2010 na kuanza kuonekana zaidi kwenye filamu. Maua Ally ambaye ni mke wa mwigizaji wa filamu na tamthilia nchini Tanzania, Mohamed Fungafunga maarufu Jengua amesema mumewe alikuwa akisumbuliwa na presha. Akizungumza na Mwananchi Digital leo Jumanne Desemba 15, 2020 Maua amesema amefariki wilayani Mkuranga, nyumbani mwa mwanaye mkubwa aliyekuwa akimuuguza. βAlikuwa anasumbuliwa na presha kwa hiyo tulikuwa Mkuranga kwa mtoto wake mkubwa kwa ajili ya kumuuguza lakini leo tumeamka asubuhi hali ikawa mbaya na amefariki hapa nyumbani,β amesema Maua na kubainisha kuwa mazishi yatafanyika kesho saa saba mchana jijini Dar es Salaam katika makaburi ya Mburahati. Msemaji wa chama cha waigizaji Dar es Salaam, Masoud Kaftan amesema, β tuliona taarifa mitandaoni lakini baada ya kufuatilia na kuthibitisha kuwa ni kweli tumepokea kwa majonzi taarifa za kifo. Umaarufu wa Jengua ulianza mwanzoni mwa miaka ya 2000 alipoigiza katika tamthilia zilizokuwa zikiandaliwa na kikundi cha Chemchemu Arts Group.