У нас вы можете посмотреть бесплатно HOJA MEZANI | Miundombinu hafifu kikwazo cha utekelezaji wa sera ya biashara huria Afrika-Kibamba или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Miundombinu duni imetajwa kuwa kikwazo kikubwa katika utekelezaji wa sera ya biashara huria katika nchi nyingi za Afrika, hali inayochangia kushuka kwa kiwango cha biashara ya ndani ya bara hilo. Akizungumza kuhusu mwenendo wa biashara barani Afrika, mchambuzi wa diplomasia Deus Kibamba amesema ukosefu wa miundombinu bora kama barabara, reli, bandari na mifumo ya usafirishaji na mawasiliano unaathiri ufanisi wa biashara kati ya nchi za Afrika. Kwa mujibu wa Kibamba, changamoto hiyo husababisha ucheleweshaji wa mizigo, gharama kubwa za usafirishaji na ushindani mdogo wa bidhaa za Afrika katika masoko ya kikanda, jambo linalodhoofisha utekelezaji wa sera ya biashara huria.