У нас вы можете посмотреть бесплатно TAARIFA YA HABARI SAA 6 MCHANA | FEB 27, 2026 или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Habari kuu mchana wa leo, kitaifa na kimataifa pamoja na Ujumbe kupitia Waza Wazua. MIONGONI MWA TAARIFA TULIZONAZO NI PAMOJA NA Wakulima wilayani Kibondo mkoani Kigoma watakiwa kuendelea kuzingatia kilimo mseto katika kutunza mazingira. Wananchi wilayani Chato Mkoani Geita watakiwa kuendelea kupanda miti ili kudhibiti mabadiliko ya tabianchi na uchafuzi wa mazingira. NA Wananchi wa Burundi watakiwa kuungana kwa manufaa ya familia zao na taifa kwa ujumla. #rkhabari #radiokwizera #2026aminia ------------------------------------------------------------------------------------------------------- Radio Kwizera Ngara Kagera Tanzania | Unaweza kuisikiliza Radio Kwizera kwa masafa mbalimbali: 97.7 KAGERA, MWANZA & GEITA | 93.7 KIGOMA | 89.5 SHINYANGA Unaweza kusikiliza kwa njia ya mtandao kwa kubofya link hapo chini https://radiokwizera.co.tz/ LIKE | FOLLOW | SUBSCRIBE | COMMENT | SHARE © All Rights Reserved to JRS Radio Kwizera 1995-2026