У нас вы можете посмотреть бесплатно WABUNGE MUSUKUMA, NTEMI WAMVAA MUWEKEZAJI ANAYEDAIWA KUBOMOA MAJENGO YA SERIKALI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
GEITA: WABUNGE kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Geita wameiomba serikali kuchukua hatua dhidi ya mwekezaji anayetuhumiwa kubomoa bila kibali majengo ya serikali katika kitongoji cha Katoro Center kilichopo mji mdogo wa Katoro. Wabunge hao ambao ni Joseph Musukuma wa Jimbo la Geita pamoja na Mhandisi Kija Ntemi wa jimbo la Katoro wamewasilisha malalamiko yao baada ya kamati ya Uchumi na fedha ya halmashauri kutembelea eneo hilo. Follow us on: FACEBOOK; SpotiLeo: / spotileo-176. . HabariLeo: / habarileo DailyNews: / dailynewstz INSTAGRAM; HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig... SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid... TWITTER; Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09