У нас вы можете посмотреть бесплатно Ukarimu wa kipekee kwa Wazanzibar или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
‘Huku ukipoteza pesa, tangazo litapelekwa mpaka redioni mpaka uzipate pesa zako’ - Khatibu Mwinyi, Sheha wa Ushangani, Zanzibar Je umewahi kufanyiwa ukarimu ambao huenda ungetamani kurudisha fadhila? Basi hilo jambo la kawaida kwa Wananchi wengi waishio Visiwani Zanzibar Kwa miaka mingi visiwa hivyo vimefahamika kwa kuwa na watu wakarimu na wenye hofu ya Mungu pale wanapojitoa katika kuwasaidia wengine wapatapo shida fulani hasa wageni. Mwandishi wa BBC @frankmavura ametembelea visiwa hivyo katika akiwa katika kazi zake za uandishi na kukutana ana kwa ana na ukarimu wa watu visiwani humo. #bbcswahili #zanzibar #tanzania Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili / @bbcnewsswahili