У нас вы можете посмотреть бесплатно MBUNGE MWANYIKA AWATAKA VIJANA KUTOKWEPA MAJUKUMU YA KULEA WATOTO или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
SOMESHENI WATOTO BILA UBAGUZI,MTOTO WA KIKE AKISOMA UTAONA FAIDA YAKE. Mbunge wa Jimbo la Njombe Mjini Deodatus Philip Mwanyika amewataka Wananchi Mkoani Njombe kumsomesha mtoto wa kike bila ubaguzi kwani mtoto wa kike akisomeshwa anakuwa msaada mkubwa katika Jamii na Familia. Mbunge Mwanyika amezungumza hayo alipokuwa mgeni Rasmi katika maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani kwa Halmashauri ya Mji wa Njombe ambayo yamefanyika katika kata ya Luponde ambapo Mbunge huyo amesema zama za kumbagua mtoto wa kike zimepitwa na wakati hivyo ni mhimu Familia kuhakikisha Watoto wanapata Elimu kwa usawa ndani ya Familia na hivyo kwa ujumla wao watakuja kusaidia Familia zao na taifa kwa ujumla. "Mimi Mke wangu yupo hapa na ni mama wa Watoto watatu na wote wakike,na tumewasomesha vizuri na tunataka tuwe mfano kwa Watu wengi na mtoto wetu wa kwanza saizi anafanya kazi Kenya na alishindanishwa na wakenya na ndipo akafanikiwa kupata kazi na kuajiliwa huko na hapa naongea kitu cha kweli, leo Watoto wangu wote wakike wamekuwa msaada mkubwa kwetu Mimi na mke wangu na kwakweli wanatusaidia sana na ndio maana nasema ukisomesha mtoto wa kike atakusaidia katika Maisha yako, hivyo wakati huu mkiadhimisha siku ya Mwanamke Duniani niwaombe sana mama zangu na Baba zangu na Wananjombe tusomeshe watoto wa kike pamoja na wakiume"Amesema Mbunge wa Jimbo la Njombe Mjini mhe.deodatus Philip Mwanyika Aidha Mbunge huyo amesema Serikali imesogeza huduma ya elimu kwa Wananchi ili kila Mtanzania bila kujali Jinsia aweze Kupata Elimu na kusaidia Familia yake.