У нас вы можете посмотреть бесплатно MAPINDUZI YA KIUCHUMI UJENZI WA BARABARA 7 KWA WAKATI MMOJA/ BAJETI YA WIZARA YA UJENI NA UCHUKUZI. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi imewasilisha Bajeti yake kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024 na kuliomba Bunge kuidhinisha Shilingi Trilion 3.554 huku ikiweka historia katika mipango ya ujenzi wa miradi mikubwa ya ujenzi wa Barabara 7 nchini itakayotekelezwa kwa wakati mmoja itakayogharimu shilingi trilioni 3.7. Akiwasilisha Bajeti ya Wizara hiyo leo Bungeni jijini Dodoma Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi amesema Miradi hiyo yenye kilometa 2035 itakayotekelewa katika mwaka huo wa Fedha inalenga kuifungua nchi kiuchumi katika maeneo zinapopita barabara hizo ambao pia inaunganisha Mikoa.