У нас вы можете посмотреть бесплатно Xouh - Rafiki (Official lyrics Audio) или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Official music Audio for #Rafiki by #xouh Follow Xouh Instagram: https://www.instagram.com/xouh__?igsh... TikTok: https://www.tiktok.com/@xouh__?lang=en Facebook: https://www.facebook.com/profile.php?... X/Twitter: https://x.com/xouh__?s=21 Listen to Xouh Audiomack: https://audiomack.com/xouh YouTube: • Xouh - Rafiki (Official lyrics Audio) BoomPlay: https://www.boomplay.com/albums/77628... Spotify: https://open.spotify.com/artist/5zxTs... Apple Music: / xouh Xouh - Rafiki lyrics Skia sound Jaydrama on the beat Nina Rafiki yangu kipenzi Ni ndugu yangu japo sio wa tumbo moja Tushasaidiana tena zaidi ya mara moja tunapendana kishenzi Ananijua nami namjua Hawezi niacha mpweke hata inyeshe mvua Hapendi niteseke hata niumwe mafua, shida zake shida zangu Mwanangu sio snitch Mwanangu alivyo mbishi Hata nifanye kosa atasema sio mimi Mwanangu wa faida mnyamwezi, mwanangu wa faida Mwanangu ni msela hana baya Kumtangaza sioni haya Ni msele kisela, mchizi kichizi hana mambo mengi Mwanangu ni msela hana baya Kumtangaza sioni haya Ni msele kisela, mchizi kichizi hana mambo mengi Tuna ndugu wasiopenda tufanikiwe Tuna ndugu wanaotaka tuaribikiwe Tuna ndugu tusipowasalimia hawatusalimii Tunasaidiwa na watu wasiotujua Marafiki zetu wamekua kama ndugu Ndugu zetu wanasubiri waje msibani kulia. (aiyeeeeh) Ila Mwanangu sio snitch Mwanangu alivyo mbishi Hata nifanye kosa atasema sio mimi Mwanangu wa faida mnyamwezi, mwanangu wa faida Mwanangu ni msela hana baya Kumtangaza sioni haya Ni msele kisela, mchizi kichizi hana mambo mengi Mwanangu ni msela hana baya Kumtangaza sioni haya Ni msele kisela, mchizi kichizi hana mambo mengi #xouh #Rafiki