У нас вы можете посмотреть бесплатно G55 WALIPULIWA NA CHADEMA KANDA YA MAGHARIBI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
#HABARI: Wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Kanda ya Magharibi,ambao pia ni watia nia ya nafasi ya Ubunge, katika Uchaguzi Mkuu wa mwezi Oktoba mwaka huu, kupitia chama chao wametoa msimamo wao wakidai wanaounga mkono ajenda ya kuzuia uchaguzi endapo, hakutakuwa na mabadiliko ya kisheria, kikatiba, mageuzi ya kikanuni pamoja na mifumo itakayowezesha uchaguzi huo kuwa huru na kwamba baadhi ya wanachama wa CHADEMA wanaopinga mpango huo watambuliwe kuwa ni wasaliti. Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ; Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3 Twitter : https://bit.ly/2XG7aii Instagram : https://bit.ly/34KItmg