У нас вы можете посмотреть бесплатно AFARIKI DUNIA KWA KUIGONGA TRENI TABATA MWANANCHI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Salehe Jinga, maarufu kwa jina la utani Karosi, amefariki dunia baada ya kuigonga treni ya abiria katika eneo la Tabata Mwananchi jijini Dar es Salaam. Ajali hiyo imetokea saa moja asubuhi ya leo Jumatatu, Februari 23, 2026, wakati marehemu aliyekadiriwa kuwa na umri kati ya miaka 40 hadi 50 akivuka reli huku treni ya abiria ikitokea Mabibo kuelekea Buguruni. Kwa mujibu wa mashuhuda, treni hiyo lilikuwa likipiga honi mfululizo kumuonya, lakini aliendelea kuvuka reli kabla ya kuigonga na kuburuzwa umbali wa futi kadhaa, na kufariki dunia papo hapo kutokana na majeraha makubwa aliyoyapata. Mama mmoja anayefanya biashara ya chakula eneo hilo amesema alishuhudia tukio hilo kwa macho yake. Taarifa zilizothibitishwa na wafanyakazi wenzake zinaeleza kuwa marehemu alikuwa mkazi wa Buguruni na mfanyakazi wa Kampuni ya Oilcom iliyopo jirani na eneo la tukio. Endelea kufuatilia Mwananchi kwa taarifa zaidi.