У нас вы можете посмотреть бесплатно MFANYAKAZI wa NDANI MIAKA 12 AFANYIWA UKATILI wa KUTISHA na BABA MWENYE NYUMBA - POLISI WANAMSAKA... или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
MFANYAKAZI wa NDANI MIAKA 12 AFANYIWA UKATILI wa KUTISHA na BABA MWENYE NYUMBA - POLISI WANAMSAKA... @ONESMO SANGALALI - DAR CC; BAKARI MAHUNDU Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma linautaarifu umma kuhusu tukio la ubakaji lililoripotiwa kutokea Januari 29, 2026, majira ya saa 3.00 asubuhi, katika Kitongoji cha Kundusi, Kijiji cha Kiteo, Kata ya Pahi, Wilaya ya Kondoa. Ambapo mtoto wa kike mwenye umri wa miaka 12, mfanyakazi wa kazi za ndani na mkazi wa Kijiji cha Kiteo, alifanyiwa ukatili huo na mtu anayetajwa kuwa baba mwenye nyumba. Mara baada ya tukio hilo, hatua za kisheria zilianza kuchukuliwa na uchunguzi unaendelea, huku juhudi za kumtafuta mtuhumiwa aliyekimbia zikiendelea ili aweze kukamatwa na kufikishwa mahakamani. Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma linatoa wito kwa wananchi kuepuka vitendo vyote vya ukatili wa kijinsia na kutoa taarifa mapema kwa mamlaka husika wanapoona au kusikia viashiria vya vitendo hivyo. ============================================================ ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136) ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania! ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx