У нас вы можете посмотреть бесплатно Rocket Yenye Nguvu Zaidi Duniani Ikifanya Safari Kwenda Mwezini. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
MAMBO VIPI INTERNET? Karibu maxtech tv show inayo amini mission za marekani za kwenda mwezini nizakisiasa na sio za kisaynsi. Ni tarehe 20 november 2022 dunia ilishuhudia ROCKET yenye nguvu zaidi duniani SLS (Space Launch System) ikipaa kuelekea mwezini baada ya kuwasha engine zake na kuu badilisha usiku kuwa mchana huku ikiachia Zaidi ya pound million 23 za thrust ukifananisha na Saturn 5 hii ni rocket iliyo wapeleka marekani mwezini 1969 ilikuwa na pound million 7.5 za thrust au msukumo SLS ina weza bebe uzutio wa tani 70 na kuinuka nazo sasa juu ya hii rocket imebeba chombo cha anga za mbali ORION hiki ndo kina enda mwezini kwenye mission yake ya kwanza ARTEMIS 1. Subscribe channel yetu:http://bit.ly/maxtechTV Social media TikTok http://bit.ly/Maxtechtz ➰Twitter http://bit.ly/maxtechtvtwitter 📸Instargram http://bit.ly/maxtech_tz #artemis1 #nasa #sls #orion #apollo #artemis