У нас вы можете посмотреть бесплатно Dalili za ugonjwa wa figo : Zifahamu dalili kuu za awali za maradhi ya figo или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Figo ni moja ya kiungo muhimu mwilini, vilevile ni moja ya kiungo kinachoshambuliwa na maradhi mbalimbali kama vile mawe kwenye figo, uvimbe na mlundikano wa mafuta. Kuna dalili kadhaa ambazo hujitokeza ikiwa figo zako zitapatwa na matatizo. Baadhi ya dalili hizi ni kukojoa damu, mkojo wenye povu, maumivu ya mgongo na kukojoa mara kwa mara au kukosa mkojo kabisa. Katika video hii utafahamu Dalili za ugonjwa wa figo na kwanini dalili hizi zinajitokeza. YALIYOMO 00:00 Kazi za figo 01:55 Dalili za ugonjwa wa figo Follow us on: Facebook: / mshaniwellness Instagram: / mshani_wellness Twitter(X): / mshaniwellness TikTok: https://www.tiktok.com/@mshani_wellne... Contact: 0743039890