У нас вы можете посмотреть бесплатно MASHINE YA KUKATIA MAJANI 300,000 PIGA SIMU 0712 25 31 02 или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
MASHINE YA KUKATIA NYASI NA MASHINE YA KUPALILIA MASHAMBA | BRUSH CUTTER MACHINE Call/Text/WhatsApp: +255 712 25 31 02 #### #PRICE Bei ni 300,000/= BIG DISCOUNT Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm) Ofisi zetu zipo Tegeta Wazohill-Dar es salaam na Bagamoyo BRUSH CUTTER hizi ni mashine (portable) zinazotumika kukatia nyasi, kupalilia na kukata miti. Mashine hii moja inaweza kufanya kazi zaidi ya moja, kazi ambazo hii mashine inafanya ni:- 1. Kukata nyasi - kufyeka 2. Kukuta miti kama Chain Saw 3. Kupalilia 4. Kufyeka vichaka vikubwa. 5. Kuvunia mpunga Hizi Brush cutter zipo za two stroke na four stroke, hizo ni aina za injini na mfumo wake. Mashine zinatumia mafuta kidogo sana kwa saa, hivyo lita 1 ya mafuta unaweza kutumia kukata nyasi katika eneo kubwa. Faida ya hizi mashine ni kwamba inaokoa muda wa kufanya kazi, lakini pia inapunguza gharama za uendeshaji badala ya kulipa watu wengi kusafisha eneo hii mashine moja na mtu mmoja inatosha. Maeneo mengi ya jeshini na makampuni yaliochukua tenda ya kufyeka nyasi za barabarani hutumia aina hii ya mashine, wengi wamenunua hizi mashine hapa kwetu JOACK Company LTD. #mashine #mashineyakukatianyasi #grasscutter #kukatanyasi #mashinezakupalilia #maguu #mashineyakutoamagugu #mashineyakukatanyasi #grasscuttingmachine #kukatanyasi #mashineyakufyekeanyasi #BRUSHCUTTER #mashineyakukatamajani #kufyekamajani #mashineyakufyekea #weedingmachine #weedremover #Portableweedremover Office zetu zipo @TegetaWazohill -Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa Simu: +255 712 25 31 02(WhatsApp) +255 692 43 02 63 Email: [email protected] YouTube: https://lnkd.in/gJb5rcw #joackcompany #fourstrokebrushcutters #twostroke #fourstroke #twostrokebrushcutters #tanzania #daressalaam #tanzania #arusha #dodoma #tanzania🇹🇿 JOACK Company LTD | DSM & BAGAMOYO