У нас вы можете посмотреть бесплатно JAMAA ADAIWA KUMUUA MCHUMBA WAKE USIKU WA KUAMKIA VALENTINE KISA AKATALIWA NA WAKWE AMFICHA SHAMBANI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mwili wa binti aliyefahamika kwa jina la Adelina Mbuna mwenye umri wa miaka 23 mkazi wa mtaa wa Kambarage umepumzishwa kwenye makaburi ya mtaa huo huku mamia ya waombolezaji wakishiriki katika mazishi ya binti huyo kutokana na kuguswa na kifo hicho kinachodaiwa kimetokana na mauaji yaliyosababishwa na wivu wa mapenzi. Telespholi Ngilangwa ni balozi wa Iso eneo alilokuwa akiishi binti huyo pamoja na wazazi wake,ameieleza Ayo TV namna kifo hicho kilivyotokea ambapo amesema inadaiwa kuwa binti huyo February 13 majira ya usiku alitumwa na baba yake kununua mchele lakini alipita kwa mchumba wake ambako aliweza kupigwa na jembe kichwani na kisha mwili wake kiburutwa mpaka kwenye shamba la Mahindi.