У нас вы можете посмотреть бесплатно ZIARA YA HESHIMA YA KCB BANK KWA RAIS WA ZANZIBAR или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
KCB Bank Tanzania ikiongozwa na mwenyekiti wa bodi, Balozi Peter Kallaghe na Mkurugenzi mkuu Ndg. Cosmas Kimario, pamoja na watendaji wamefanya ziara ya heshima kwa Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa Baraza la mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi Leo 5 machi 2026. kwa lengo la kumpongeza kwa uongozi mashuhuri na kujadili namna ya kuendelea kushirikiana katika kuimarisha uchumi na fursa za kifedha kwa jamii. Aidha, Rais Dkt. Mwinyi ameisisitiza benki ya KCB Tanzania kupitia programu ya kurudisha fadhila kwa jamii kushirikiana na Wizara ya Vijana, Ajira na Uwezeshaji kutafuta njia bora na endelevu zitakazowanufaisha vijana, hususan katika suala la uwezeshaji wa mikopo kwa vijana hili waweze kujiajiri. #kcbbanktanzania #forpeopleforbetter