У нас вы можете посмотреть бесплатно BREAKING NEWS: NIMROD MKONO AFARIKI DUNIA BAADA YA KUUGUA KWA MUDA MREFU или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Nimrod Elirehemah Mkono alizaliwa tar. 18 Agosti 1943 katika kijiji cha Busegwe. Alikuwa mbunge wa jimbo la Musoma Vijijini, alianza ubunge mwaka 2000. Nimrod mkono ni mwana maendeleo kwa sababu amejenga shule nyingi. Baadhi ya shule alizojenga ni Chief Ihunyo iliyopo kijiji cha Busegwe,shule ya msingi Busegwe,Chief Wanzagi,Chief Oswald Mang'ombe,shule ya sekondari Butuguri,shule ya sekondari Kasoma na nyingine nyingi. Uchaguzi wa mwaka 2010 alipita bila kupingwa na pia alikuwa wakili wa kimataifa wa kujitegemea. Nimrod mkono ni mzanaki kabila moja na Hayati Baba wa Taifa, Mwl Julius Kambarage Nyerere. Mheshimiwa mkono enzi za uhai wake ametoa mchango mkubwa sana kufanikisha kupatikana kwa wilaya mpya ya Butiama. Alichaguliwa kuwa mbunge wa Butiama tangu mwaka 2015 – 2020.