У нас вы можете посмотреть бесплатно KILICHOWAKUTA JAMAA Wanne WANAODAIWA Kuuza DAWA za KULEVYA, Wapandishwa MAHAKAMANI Leo... или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
KILICHOWAKUTA JAMAA Wanne WANAODAIWA Kuuza DAWA za KULEVYA, Wapandishwa MAHAKAMANI Leo... WATU wanne wamepandisha kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi likiwemo kosa la kuendesha biashara haramu ya dawa za kulevya aina ya heroine kiasi cha kilogramu 51.47 na utakatishaji fedha. Washitakiwa hao ambao ni ERNEST MICHAEL, SALUM JONGO, AMIN SEKIBO na TATU NASSOR wakazi wa Mbezi Jijini Dar es Salaam wamefikishwa katika mahakama hiyo hii leo Septemba 16, 2020 na kusomewa mashtaka yao na wakili wa Serikali Mkuu, PAUL KADUSHHI akisaidiwa na Wakili Mwandamizi wa Serikali WANKYO SIMON mbele ya Hakimu mwandamizi wa mahakama hiyo CASSIAN MATEMBELE. Awali akiwasomea hati ya mashitaka Wakili wa Serikali Mkuu, PAUL KADUSHI, amedai kuwa washitakiwa hao katika tarehe tofauti kati ya Septemba 8, 2020 maeneo ya Vetenari Jijini Dar, washitakiwa walikamatwa na Kilogram 51.47 za dawa za kulevya aina ya heroin. Katika shitaka la pili Wakili KADUSHI amedai kuwa Septemba 1 na 8, 2020 washitakiwa hao wanadaiwa kujihusisha na utakatisha wa fedha zilizotokana na biashara haramu ya dawa za kulevya wa zaidi ya shilingi milioni sitini na mbili. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvo... ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline