У нас вы можете посмотреть бесплатно WEDNESDAY NIGHT LIVE 25/02/2026 | Mapinduzi ya mchezo wa Netiboli Tanzania; Irene Haule & Kasomfi или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Ndani ya studio yupo Afisa Habari wa Chama cha Netiboli Mkoa wa Dar es Salaam (CHANEDA), Irene Haule (#IKTheHost) , pamoja na mdau wa michezo, Fortunatus Kamsofi. Kubwa ni mipango na mikakati mipya ya kuing'arisha netiboli Tanzania ambapo Kamsofi anatoa ushuhuda na uzoefu wake kutoka nchini Afrika Kusini. Lakini pia anasimulia safari ya mchezo wa netiboli Tanzania tangu miaka ya nyuma, siri ya mafanikio yake, na sababu za kuudidimiza mchezo huo... Irene Haule anaeleza atakachokifanya kwa nafasi yake kuutangaza na kuung'arisha mchezo huo... Wednesday Night Live ni kila Jumatano saa 1:30 usiku #AzamSports3HD