У нас вы можете посмотреть бесплатно WATU 5 WAFARIKI TANGA KWENYE MACHIMBO ya MCHANGA - GEMA LILIWAANGUKIA - KAMANDA AFAFANUA.... или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
WATU 5 WAFARIKI TANGA KWENYE MACHIMBO ya MCHANGA - GEMA LILIWAANGUKIA - KAMANDA AFAFANUA.... @ONESMO SANGALALI - DAR CC; BAKARI MAHUNDU Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga linapenda kutoa taarifa ya ajali ya kusikitisha iliyotokea leo tarehe 15/02/2026, majira ya saa 11:30 jioni, ambayo inesababisha vifo vya watu watano katika Machimbo ya Mchanga ya Bolbit katika Kijiji cha Makuyuni, Wilaya ya Korogwe. Chanzo cha ajali hiyo ni kukatika kwa ngema ya udongo ambayo iliwafukia watu watano wakati wakiwa katika shughuli za uchimbaji. Jitihada za uokoaji zilizoshirikisha Jeshi la Polisi, Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, pamoja na wananchi, zilifanikiwa kuitoa miili ya watu watano ambayo imehifadhiwa katika Hospitali ya Halmashauri ya Korogwe Vijijini Makuyuni kwa taratibu zingine. ============================================================ ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136) ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania! ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx