У нас вы можете посмотреть бесплатно TONCH - UTANDA MBUZI (Official audio) или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
SONG: UTANDA MBUZI ARTIST: TONCH STUDIO LEBEL: EPO FRESH MUSIC PROD BY: TYTAH X TONCH Song perfomed by tonch VERSE Wanasema kila Mbuzi hula urefu wa kamba Yake , Na kila kamba,sio kamba itakayokufanya utoke,(utoboe) Vumiliia mama ,dada na kaka baba nausizuzuke, Na penye nia salama ,na mungu anaagano lake Na kila njia ,sio njia fasaha yakupata mkate, Vitabu vimenena, Mtu atakula jasho lake, Lakini hii isibadili maadili , japo kila moja wetu ameikamata imani Yake , Maana yangu nipo nawe kwenye jema,penye baya sheria ifate Mkondo wake Mbwembwe kwetu ni wazi ,tena wazi haswaa , aisee, Mambo ni moto,tena moto wajianamu, Kwenye social network,tuanze instgram, Kuna wenye ndoto,lakini ndoto,sio kila ndoto iwe tamu, Pengine upo Kama me , Mzee wa kuview vipicha, Wa selfie na makiki nawazoom kila kukicha, Ni vingi vioja Karibu ujionee, Nauli ni Simu Bandu na macho Yako Mzee CHORUS Ahah weka pozi la picha (tujipendelee x2) tupate picha ya kupost (tujikomelee x2) kwichkwichhkwichkwichhkwichh (like perytusi peletusi) VERSE !! eenh Mambo ni wazi ubishani,uteam nakadhaiika, Vichache visafi,vingi vigilgi kiki vinasikitisha, Ngoja nikupe upako,aisee, kemea pepo lipite mbali usijepatwa,, Huku watakunyima ugali, tu ,umbeya ndio chakula pendwa swadacta, Hao wakina wema, vitanda vimekua insta, Ujanja ni kuposti, ujinga ,vyamaana utaperuzi wewe tu,utapitwaAhah Kwenye social network,ni vijimambo tu mzazi, Sijui ni nyakati za mwisho,kizazi kimekosa malezi, Watoto Wadogo ila mambo makubwa ,yanatisha, Tena wazi wazi ,wanakula goodtime na wazazi na wanapost insta, Wamekosa nizamu, huku kwetu shetani anawatawala kabisa, Haya mambo ya sodoma na gomola,kiongozi ni amba ruti mwenye sura yenye ustar wa michosho Nadadake Yake Mwenye nyota yakupendwa na wapenda ngono wamitoko, Muda wao umekwisha kwa mana wanaua sanaa kwa watoto Hakuna cha maana zaidi ya mabalaa ,ya moto wa jianam choko.(msoto)