У нас вы можете посмотреть бесплатно Matunda ya ugatuzi Marsabit или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Hivi maajuzi Rais Uhuru Kenyatta alitia sahihi na kuufanya sheria mswada wa ugavi wa fedha wa mwaka 2018/19 kwa kaunti zote 47 humu nchini. Fedha hizo zitazingatia usawa ikilinganishwa na maendeleo yanayopaswa kushuhudiwa katika kaunti hizo. Kadzo Gunga alizuru eneo la Marsabit na kushuhudia jinsi fedha za ustawi wa kaunti zimechangia pakubwa katika kubadilisha taswira ya kaunti hiyo mbali na kuleta maendeleo katika miaka mitano ya kwanza ya ugatuzi. Citizen TV is Kenya's leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered. This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world. Follow us: http://citizentv.co.ke / citizentvkenya / citizentvkenya https://plus.google.com/+CitizenTVKenya / citizentvkenya