У нас вы можете посмотреть бесплатно KATAMBUGA: MIZIMU INAISHI HAPA AMBONI-TANGA: S01E09 или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Pango za Amboni zilijijenga kiasili (natural creation) kwa zaidi ya miaka milioni 50 iliyopita, miamba chokaa hii (limestone) yenye madini ya calcium carbonate na carbonate acid, hukua kila yanapokutana na maji na kutengeneza taswira mbali mbali zilizofanya pango hizo kupata umaarufu mkubwa sana na kutumika kwa utalii. Lakini kuna pango zaidi ya 10 ambazo zimekuwa na hadithi za mapokeo (undocumented history) ambazo zimejenga maana katika jamii. Pango namba 7 na Pango la Fatuma ni pango ambazo zimekuwa hatari kuingilika, Pango la Fatuma ni pango linaloaminika ni nyumba ya mizimu mikari na watu wa kawaida hawaruhusiwi kuingia, ila waganga na watu wenye nia ya kufanya ibada za kishirikina na makafara, ila pango namba 7 ni pango hatari zaidi kwani hata waganga hawaingii. inaaminika kuwa kuna mzungu aliingia na hakurudi. Je! Kuna ukweli? Katambuga watajitosa katika pango zote hizo kukujuza kinachojiri, Fuata Nyayo!